Kivumbi cha mechi 15 kwa kila timu inayocheza ligi kuu msimu huu wa 2023/24 kimekamilika
Simba anaeongoza ligi akiwa anamiliki point 40 kwa tofauti ya alama moja na aliyopo nafasi ya pili Ambaye ni young Africans mwenye point 39🏆
Katika nafasi ya tatu ni matajiri wa Jiji la Dar Azam fc waliovuna alama 36 katika michezo 16
Wakulima wa Alizeti 😆 Singida Black Stars wamesimama katika nafasi ya 4 wakiwa na zao 33 walizozikusanya katika mechi 16.
Mchezaji gani amekukosha zaidi katika mzunguko huu wa kwanza ⚽
Ni mechi gani Bora ulioitazama katika mzunguko huu wa kwanza⚽
Mwamuzi gani aliyetoa maamuzi mabovu kuliko waamuzi wote katika mzunguko huu wa kwanza
Timu umeifatilia tangu mechi ya kwanza mpaka ya 15 kutokana na mwenendo wake