LATEST ARTICLES

Museveni azidisha masharti kudhibiti corona Uganda

NA MWANDISHI WETU Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, ametangaza masharti zaidi ya kukabiliana na kuenea kwa virusi vya corona...

Aliyekuwa mhasibu wa TANROADS ajiuwa kwa bastola

NA MWANDISI WETU Aliyekuwa mhasibu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Ruvuma, Justin Rwendera amefariki dunia akidaiwa...

Waziri wa Afya wa Uingereza akutwa na Corona

London, UINGEREZA Waziri wa Afya na Huduma za Jamii wa Uingereza, Matt Hancock...

Waziri Mkuu wa Uingereza akutwa na Corona

Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson London, UINGEREZA Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson...

Kenya yathibitisha kifo cha kwanza cha mgonjwa wa Corona

Nairobi, KENYA Mgonjwa wa kwanza mwenye maambukizi ya virusi vya corona (covid-19) nchini...

Papa Francis apimwa Corona

Vatican, ITALIA Kiongozi wa Kansa Katoliki Duniani, Papa Francis amepimwa virusi vya corona...

Serikali yatoa ruksa wanafunzi kubadili Tahasusi, kozi

Lulu Ringo Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za...

Rais Magufuli: Sitaahirisha uchaguzi kisa Corona

Bethsheba Wambura Rais John Magufuli amesema uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika Oktoba mwaka huu...

CHINA: TAHARUKI YAIBUKA BAADA YA MTU MMOJA KUFARIKI KUTOKANA NA KIRUSI KIPYA CHA HANTA

NA MWANDISHI WETU Kwa mujibu Gazeti la Mtandaoni la China, Global Times limeripoti kuwa mwanaume mmoja kutoka Mji wa...

Mwanamuziki Manu Dibango amefariki kwa ugonjwa wa corona

NA MWANDISHI WETU Mwanamuziki, mwandishi na mpuliza saxophone, raia wa Cameroon Duniani Emanuel N’djoke Dibango maarufu Manu Dibango amefariki...
- Advertisement -

Most Popular

Yanga yampatia Tshishimbi mkataba mpya

NA MWANDISHI WETU Klabu ya Yanga SC, imesema kuwa tayari imemaliza kazi yake ya kuhakikisha inambakiza kiungo tegemeo wa...

Tetesi za soka barani Ulaya

SANCHO AITIKISA UNITED Mshambuliaji wa Borussia Dortmund na Timu ya Taifa ya Uingereza, Jadon Sancho (20), amesema hatakuwa tayari...

Makonda: Wazururaji hawatakwenda mahabusu watazibua mitaro ya maji machafu

NA MWANDISHI WETU Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amesema kuwa watu watakaokamatwa kwenye mkoa huo kutokana...

Chui katika hifadhi ya wanyama ya Bronx akutwa na Virusi vya Corona

NEW YORK, MAREKANI Chui wa kike wa Malaysia aliyefahamika kwa jina la Nadia mwenye umri wa miaka minne katika hifadhi...