WAKILI MIKOPO CHECHEFU AWAPONZA WATEJA WAKE|WATAKIWA KUZILIPA BENKI MABILIONI
Na. Mwandishi wetu, Usemi wa siku za mwizi arobaini na na mchuma janga hula na wakwao unaelekea kuendelea kumkuta wakili frank mwalongo anayedaiwa kuzunguka katika makampuni kadhaa ya wafanyabiashara wakubwa…
CHECHEFU NI AIBU TUPU
- Mabilioni ya pesa yakwamishwa makusudi na wajanja wachache mahakamani - utaratibu ni kila anayeshindwa kulipa mkopo hukimbilia mahakamani kuweka zuio la dhamana zake zisifidie mikopo - wakopaji wanachezesha kesi…
🛑BASHUNGWA ATOA TAMKO MPASUKO WA BARABARA BUSUNZU – KIGOMA, SIO UPIGAJI.
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kuwa uchunguzi umebaini mpasuko wa ardhi na kuporomoka kwa tuta la barabara uliojitokeza katika eneo la Busunzu lenye urefu wa mita 200 haijatokana na…
MIKOPO CHECHEFU ‘INAVYOKAUSHA DAMU’
"Sio rahisi kwa ndoto za Rais Samia za kutaka mikopo ya riba chini ya asilimia 10. Haiwezekani kwa sababu matajiri wachache wanakopa pesa nyingi ambazo kama wangekuwa waaminifu na kuzirudisha…
TAKUKURU: Wananchi msichaguwe viongozi wala rushwa, watawaletea umasikini
Na Mwandishi WetuWAKATI Watanzania wakielekea kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu na Uchaguzi Mkuu mwakani, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), imewataka wapiga kura kuichukia rushwa…
Viongozi wa dini, TAKUKURU wakumbushana wajibu kupinga rushwa
Na Mwandishi Wetu TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU), imesema inatambua mchango dini katika kutoa maadili sahihi kwa waumini na kuelimisha juu ya vitendo vya rushwa pamoja…
TAKUKURU, Asasi za kiraia wajadili kudhibiti rushwa chaguzi zijazo
Na Mwandishi Wetu TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU), imekutana na viongozi wa Asasi za Kiraia (AZAKI) na Asasi zisizo za Kiserikali (AZISE), kwa lengo la kujadili…
BILIONI 403 HATARINI KUPOTEA
- Ni kutokana na Usimamizi duni wa dhamana zilizowekwa na wakopaji wa Benki ya Biashara Tanzania na Benki ya Azania kwa mikopo iliyotolewa - Watoa mikopo ya mabilioni ya shilingi bila kuwekewa…
‘KAUSHA DAMU’ KILIO CHA TAIFA
- Ni mikopo inayozidi kushamiri kila kona nchini kila siku - Inaongoza kuwafilisi wananchi hasa wa vipato vya chini ikiwemo watumishi wa serikali na binafsi kutokana na riba kuwa kubwa - Inatajwa kutolewa…
USHAHIDI WA CRC WAGONGA MWAMBA
Na Mwandishi wetu, Mahakama Kuu Division ya Biashara imetoa hukumu ndogo ya nyaraka za miamala ya Benki zilizowasilishwa na Shahidi ya wa pili Elexender Gombanila za kutoingizwa katika vielelezo vya…