PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO APRILI 01, 2025
DK. SAMIA: AHSANTENI VIONGOZI WA DINI NA MWANDISHI WETURAIS wa Jamhuri ya Muungano Dk. Samia Suluhu Hassan jana alikuwa mgeni rasmi katika maadhimisho la Baraza la Eid El Fitri, yaliyofanyika…
PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO MACHI 31, 2025
WASIRA AKEMEA MAKUNDI CCM NA MWANDISHI WETU, ITILIMA MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amewataka wanachama kuacha makundi kwa kuwa yanasababisha kushindwa katika baadhi ya…
PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO MACHI 29, 2025
KAMPENI YA KISHERIA YA MAMA SAMIAYAWAFIKIA WATANZANIA MILIONI 43 NA MWANDISHI WETU, ARUSHAKAMPENI ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia Legal Aid ikiwa ikiwafikia Watanzania Milioni 43 hatimaye imetua jiji…
⭕️KITI CHA RAIS MKOLE KWA WANANCHI : MATESO KWA RAIS.
Mzigo wa Uongozi: Hapo awali alikuwepo Rais aliyekuwa akiitwa Mweta katika taifa la Uvanga, alikuwa na sifa ya uzalendo na kupenda wananchi kulingana na hata pengine kuzidi upendo wa familia…
⭕️KARATA YA MWALIMU KWENYE MAISHA.
Katika kijiji kimoja kidogo, kulikuwa na shule ya msingi iliyojulikana kwa ubora wa walimu wake. Miongoni mwa walimu hao, alikuwepo mwalimu mmoja ni Bi. Amina, ambaye alikuwa maarufu kwa wema…
TANZANIA BORA LEO FEBRUARI 10, 2025.
Gazeti la Tanzania Bora limeangaza katika nyanja za kiuchumi, miundombinu, na maendeleo kwa jamii na miongoni mwa taarifa ni pamoja na Dkt. Samia akerwa na mgogoro wa Congo.
KUMEKUCHA LEO FEBRUARI 10, 2025.
Gazetinla kumekucha Leo limeangazia taarifa za kijamii, uchumi na siasa na miongoni mwa taarifa hizo ni pamoja na Wasira aionya Chadema huku likiangazia juu ya kifo cha Sam Nujoma.
SPOTI MASTA LEO FEBRUARI 10, 2025.
Gazeti la Spoti Masta Leo limeangazia taarifa za michezo na burudani na miongoni mwa taarifa hizo ni Simba na Yanga wajua wabaya wao huku mpanzu anahasira bao kujua ni wakina…
FIKRAPEVU LEO FEBRUARI 10, 2025.
Gazeti la fikrapevu Leo limekuletea taarifa zinazogusa siasa, uchumi na jamii huku miongoni mwa taarifa zilizoshika kurasa ya mbele ni pamoja na Dkt. Biteko awalingania waislam kuhifadhi Qur'aan na habari…
BUSATI LEO FEBRUARI 10, 2025.
Leo gazeti la Busati limeangaza juu ya taarifa nyingi za kukujuza juu ya yaliyomo nchini na miongoni mwa taarifa ni pamoja na taarifa ya utalii inayokukutanisha na mega wakiume asiye…