Klabu ya Simba SC leo tarehe 23 Januari 2025, imetuma maombi kwenye idara ya uhamiaji kuomba wachezaji wao 9 wa Kimataifa ambao hawapati nafasi kwenye timu zao za Taifa ili wapewe uraia wa Tanzania, barua ambayo imesainiwa na Mwenyekiti wa klabu Murtaza Mangungu..
Wameiomba ofisi ya uhamiaji iridhie ombi lao na kupewa utaratibu wa kufuata ili kufanikisha jambo hilo.