KUMEKUCHA CCM
Na Mwandishi Wetu
CHAMA Cha Mapinduzi CCM, kimetangaza tarehe rasmi itakayoanza mchakato wa kuanza kuchukua fomu na kurejesha kwa wanachama wake, kuomba kuteuliwa kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Mwezi Oktoba mwaka huu.











