WATETEZI WAPYA WA TUNDU LISU WAIBUKA
NA MWANDISHI WETU
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, jamii ya watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja, Mashoga, Wasagaji na Mabasha wamepaza sauti, wakitaka haki itendekea kwao huku wakiwataja baadhi ya viongozi akiwemo Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasi na Maendeleo Chadema Tundu Lisu.











