TANZANIA NA MOROCCO KUKUZA SEKTA YA NISHATI
NA MWANDISHI WETU
JAMHURI ya Muungano wa Tanzania na Ufalme wa Morocco wamekubaliana kuimarisha ushirikiano wa matumizi ya teknolojia katika Sekta ya Nishati ili kuiwezesha sekta hiyo kuwa na mchango endelevu nchini.











