DK. SAMIA AHAMASISHA HUDUMA BURE UCHUNGUZI WA SARATANI
NA MWANDISHI WETU
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa maono ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan yameiwezesha Tanzania kupiga hatua kubwa za kimaendeleo katika sekta mbalimbali ikiwemo ya Anga. Amesema hayo wakati alipofungua Mkutano wa 73 wa Baraza la Kimataifa la Viwanja vya Ndege kwa Ukanda wa Afrika (ACI Afrika) unaofanyika kwenye Hotel ya Mount Meru.







