DK. SAMIA: AHSANTENI VIONGOZI WA DINI
NA MWANDISHI WETU
RAIS wa Jamhuri ya Muungano Dk. Samia Suluhu Hassan jana alikuwa mgeni rasmi katika maadhimisho la Baraza la Eid El Fitri, yaliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere (JNICC), jijini Dar es Salaam, ambapo pamoja na salamu za sikukuu hiyo, pia aliwashukuru viongozi wa dini nchini.







