“Mkataa kwao mtumwa jamani” ipo haja ya kukubali ubora wa unachomiliki kwani ni chako na ndiyo halal yako. Gazeti la Tanzania Bora linakujuza na kukuelimisha ubora wa Tanzania sasa kwani tukikumbuka maisha ya miaka 60 iliyopita Tanzania haikuwa hapa ilipo kimiundombinu na miradi mingi ya uzalishaji.
Leo jan 29, 2025 kubwa kuliko ni kuwa na rasilimali watu wenye ukarimu na kujua kazi zao zinataka nini “Rais Samia awavutia marais kwa ukarimu”, Vituo vya afya, vifaa tiba na dawa zaleta ahuweni kwa wananchi. Imetokea wapi, kwanini, ikoje na nani alisema kamata nakala ya gazeti lako ujionee.
