Leo januari 29, 2025, Gazeti la mjasiriamali limekufungulia fursa kwa taarifa mbalimbali za kujufanya uwe miongoni mwa walio iona fursa siku ya leo.
miongoni mwa taarifa hizo ni pamoja na kupata elimu ya kukufanya ujue kanuni muhimu za kufuga kuju wakienyeji, mambo unayopaswa kufanya kama mjasiriamali, kamata nakala ya mjasiriamali ujizolee fursa na elimu mbalimbali.
![](https://jamvilahabari.co.tz/wp-content/uploads/2025/01/20250129_073539.jpg)