Sauti ya jogoo asubuhi niishara ya siku nyingine ya kupambana na kuashiria KUMEKUCHA. Gazeti la kumekucha ni tunu ya kila mtanzania mwenye uhitaji wa kufahamu kuhusu Tanzania na jinsi Tanzania ilivyo ya thamani katika mapambano yake.
Leo Januari 29, 2025 kumekucha na kumecjangamka mjini ambapo BAWACHA wamjia juu Chalamila. Wapi, kwanini, lini na ninani kamata nakala yako ya gazeti la kumekucha ujionee.
