Keti chini nikueleze fahari ya Tanzania utalii, tamaduni, asili, mila na desturi, mali na hata upekee wa rasilimali zake. Kwani haufahamu kuhusu Kilimanjaro, vipi kuhusu Ngorongoro na Mikumi, Wahadzabe je?. Ila bado haujachelewa keti hapa busati ni kwaajili yako.
Leo januari 29, 2025 Busati linaangaza jicho mpaka kutuletea sehemu ya utalii ambayo ukifika unapaswa kutoa wosia, lakini Kubwa ni Rais Samia Suluhu Hassan kusimamisha afrika, amesimamisha kwanini na akifanya nini unapaswa kuchukua nakala ya gazeti hili ujionee rasilimali za Tanzania.