jamvilahabari

677 POSTS0 COMMENTS
https://jamvilahabari.co.tz

Waziri Ummy atoa miezi mitatu vifungashio visivyo na ubora

Na Dotto Kwilasa, Dodoma  WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira, Ummy Mwalimu ametoa muda  wa miezi mitatu kuondolewa sokoni kwa...

Tume ya Haki za Binadamu yasikitishwa na wanaowatumia walemavu kujiingizia kipato

Na Dotto Kwilasa, Dodoma  TUME ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imesikitishwa na vitendo vya baadhi ya wananchi kuwatumia watu wenye Ulemavu kwa...

Magufuli, Wang Yi washuhudia utiaji saini ujenzi SGR Mwanza – Isaka

Na Bethsheba Wambura Rais Dk. John Magufuli na Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Wang Yi wameshuhudia utiaji saini kati ya Tanzania na...

Simba kupata Bil. 1.3

>>Ni baada ya kuingia hatua ya makundi NA SHEHE SEMTAWA ALIYEWAHI kuwa Mwenyekiti wa Klabu ya Simba SC, Ismail Eden Rage amesema kitendo cha timu yao...

Thomas Ulimwengu aipeleka TP Mazembe hatua ya makundi

Hizi ndio zilizofuzu hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika KINSHASA, DR.CONGO MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Thomas Emmanuel Ulimwengu juzi amefunga bao la kwanza dakika ya...

Manara: Nina deni kubwa kwa wachezaji, wamenistiri mimi na Wana-Simba wote

NA MUSSA KICHEBA BAADA ya kikosi cha Simba kuibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya FC Platinum kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika...

Apandishwa kizimbani kwa tuhuma za kulawiti

NA DEVOTHA FULUGUNGE MKAZI wa Salasala Hassan Bangaseka amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya Kinondoni, kwa tuhuma za kumlawiti mtoto wa kiume kinyume na maumbile. Bangaseka (24),...

Historia ya mwanamuziki Michael Jackson inasikitisha

NA MWANDISHI WETU MICHAEL Jackson alizaliwa tarehe 29 August mwaka 1958, akiwa ni mtoto wa nane kati ya kumi wa mzee Joe Jackson na Catherine...

Stay Connected

20,827FansLike
2,508FollowersFollow
17,100SubscribersSubscribe
- Advertisement -

Latest Articles

Ujenzi wa madarasa ubungo waanza kwa kasi, RC Kunenge apokea saruji 800

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge Leo amepokea mchango wa mifuko 800 ya Saruji kutoka Kiwanda Cha Twiga Kama sehemu...

COSTECH inavyowaibua Waandishi wa habari kwenye Ufugaji

Na Dotto Kwilasa,Dodoma ILIKUWA Desemba 15-16 Mwaka 2020 ambapo Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH)iliendesha mafunzo ya uandishi wa habari za Sayansi,Teknolojia na...

INFINIX YAPASUA ANGA KUWAFIKIA MASHABIKI WAKE KIMATAIFA

Kampuni pendwa ya simu Infinix Mobility Limited kwa mwaka wa 2020 ilifanya matamasha mbalimbali  yenye kuhusisha zaidi mashabiki (fans) wake. kati ya matamasha yalionekana...

Watumishi 23 wa MOI wachunguzwa wizi dawa, vifaa tiba vya Bil 1.2

Na Mwandishi Wetu  Watumishi 23 wa Idara ya Famasia katika Taasisi ya Mifupa (Moi) wanachunguzwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kwa...

Mkandarasi ujenzi wa daraja la JPM atakiwa kutoa ajira kwa wazawa

Na Dotto Kwilasa,Mwanza Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Dk. Leonard Chamuriho, amemtaka Mkandarasi anayejenga Daraja la Magufuli jijini Mwanza, kutoa ajira nyingi za vibarua...