>> Asisitiza soko la samaki nchini humo ni kubwa
Na AZIZA MASOUD,DAR ES SALAAM
SAMAKI ni moja ya biashara kubwa ambayo inafanywa na watanzania wengi na...
Na Munir Shemweta, WANMM SINGIDA
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amepiga marufuku viongozi wa vijiji na vitongoji katika maeneo mbalimbali...
NA MWANDISHI WETU, DAR
Waziri wa Madini, Dotto Biteko amewaonya matapeli wanaojihusisha biashara ya uuzaji na ununuzi wa madini kinyemela majumbani mwao na kuikosesha serikali...
NA MWANDISHI WETU, DAR
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amewaongoza Wazanzibari kusheherekea maadhimisho ya miaka 57 ya Mapinduzi huku akitoa sababu za kiuchumi na...
Na Dotto Kwilasa, Dodoma
WALIMU wakuu wa shule za msingi nchini wametakiwa kubainisha aina za ulemavu wa wanafunzi ili kuirahisishia Serikali kuwasaidia watoto hao kulingana...
Mwili wa Anna Bayi utazikwa Jumamosi Januari 9 kwenye eneo la nyumba yake, Kibaha Mkuza mkoani Pwani.
Mtoto wa marehemu, Sanka Bayi amesema ibada ya...
Na Dotto Kwilasa,Dodoma
ILIKUWA Desemba 15-16 Mwaka 2020 ambapo Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH)iliendesha mafunzo ya uandishi wa habari za Sayansi,Teknolojia na...
Kampuni pendwa ya simu Infinix Mobility Limited kwa mwaka wa 2020 ilifanya matamasha mbalimbali yenye kuhusisha zaidi mashabiki (fans) wake. kati ya matamasha yalionekana...
Na Mwandishi Wetu
Watumishi 23 wa Idara ya Famasia katika Taasisi ya Mifupa (Moi) wanachunguzwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kwa...
Na Dotto Kwilasa,Mwanza
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Dk. Leonard Chamuriho, amemtaka Mkandarasi anayejenga Daraja la Magufuli jijini Mwanza, kutoa ajira nyingi za vibarua...