RAIS DK. SAMIA KUONGOZA MAZISHI YA MZEE MSUYA
- NA MWANDISHI WETU
- RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan leo anatarajiwa kuongoza viongozi mbalimbali, ndugu, jamaa na majirani katika mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu na Makamu wa Kwanza wa Rais Mzee Cleo[a david Msuya aliyefariki Mei 7, 2025.







