MAKALA: DK SAMIA NI KIONGOZI WA VITENDO
NA MWANDISHI WETU
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amesema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ameacha alama kwa Watanzania kwani amekuwa Rais wa vitendo kwa kuwagusa wananchi kupitia mambo mbalimbali ya maendeleo.











