JOKATE: CCM ITAANDIKA HISTORIA UCHAGUZI MKUU
Na Mwandishi Wetu
KATIBU mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Jokate mwegelo, amesema Chama kitaandika historia mpya katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu kwa kundi kubwa la vijana ambalo litapiga kura kwa mara ya kwanza kuwachagua viongozi wa CCM.











