BASHE AWAKINGIA KIFUA WAKULIMA
NA MWANDISHI WETU
KATIKA kile kinachoonyesha kuwatetea wakulima, Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, ameionya Mamlal ya Mapato Tanzania (TRA) kutowalazimisha wakulima kutumia mashine za kutoa risiti za kielektroniki (EFDs), akisema kuwa hakuna sheria iliyopitishwa na Bunge inayowataka kufanya hivyo.













