DK. BITEKO: HAKUNAMAENDELEO BILA AMANI
NA MWANDISHI WETU
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewaasa Watanzania kuendeleza fikra za Mwl. Nyerere kwa kuwekeza katika sekta za elimu, kilimo, viwanda, teknolojia na biashara ndogo ndogo zinazotegemewa na wananchi wengi ili kukuza uchumi jumuishi.







