Siku 15 kabla ya Dar es Salaam Derby, Klabu ya Yanga leo imetangaza kuachana rasmi na kocha wao Zlatko Krmpotic. Katika taarifa rasmi ya klabu, Yanga hawajatoa sababu yoyote ya kufikia maamuzi hayo.
Karibu tena Uhabarike katika ukurasa huu maalum na Rasmi wa gazeti bora na makini la kila siku la JAMVI LA HABARI. Tunayo furaha kukujuza kuwa JAMVI LA HABARI ndio gazeti linaloongoza kwa kuandika habari za kweli na umakini zilizochambuliwa na kufanyiwa utafiti wa kina. JAMVI LA HABARI, HAKIKA NI GAZETI LAKO.
Contact us: jamvilahabari@gmail.com