Home AFYA Ujerumani yaripoti zaidi ya visa 15,000 vya Corona

Ujerumani yaripoti zaidi ya visa 15,000 vya Corona

Orth-Rhine Westphalia, UJERUMANI

Ujerumani imeripoti visa vipya 15, 439 vya maambukizi ya virusi vya corona huku idadi ya vifo ikifikia watu 44 na 115 waliopata nafuu.

Taarifa hizo zinazojumuisha majimbo yote 16, zinaonyesha kwamba jimbo lenye idadi kubwa ya watu la North-Rhine Westphalia limeripoti zaidi ya visa 4,970, likifuatiwa na Bavaria lenye visa 2,280 na Baden-Wuerttemberg lenye zaidi ya visa 2,740.

Kutokana na hali hiyo askari wa akiba ambao wako nje ya jeshi wameanza kuripoti kazini kwa hiari huku Waziri wa Ulinzi Annegret Kramp-Karrenbauer akisema jeshi linajiandaa kupambana na mgogoro wa virusi vya corona.

Lakini waziri huyo pia ameonya dhidi ya matarajio makubwa akisema jeshi na hospitali zake zilizo na madaktari wapatao 3,000 ni sehemu ndogo tu ya mfumo wa afya wa Ujerumani.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -

Most Popular

Yanga yampatia Tshishimbi mkataba mpya

NA MWANDISHI WETU Klabu ya Yanga SC, imesema kuwa tayari imemaliza kazi yake ya kuhakikisha inambakiza kiungo tegemeo wa...

Tetesi za soka barani Ulaya

SANCHO AITIKISA UNITED Mshambuliaji wa Borussia Dortmund na Timu ya Taifa ya Uingereza, Jadon Sancho (20), amesema hatakuwa tayari...

Makonda: Wazururaji hawatakwenda mahabusu watazibua mitaro ya maji machafu

NA MWANDISHI WETU Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amesema kuwa watu watakaokamatwa kwenye mkoa huo kutokana...

Chui katika hifadhi ya wanyama ya Bronx akutwa na Virusi vya Corona

NEW YORK, MAREKANI Chui wa kike wa Malaysia aliyefahamika kwa jina la Nadia mwenye umri wa miaka minne katika hifadhi...

Recent Comments