Baada ya zaidi ya miaka 400, leo usiku, Sayari za Mshtarii (Jupiter) na Zohali (Saturn) zinatarajiwa kuonekana katika umbo moja kutoka Duniani
Tukio hili linafanya Sayari hizo kuonekana kama ‘Nyota’ moja. Mara ya mwisho tukio kama hilo kuonekana ilikuwa Julai 16, 1623
Si Kamba Sayari hizo zitakuwa kitu kimoja, bali zitakuwa katika mstari mmoja wa mwonekano kutoka Duniani. Tafuta sehemu nzuri usiku wa leo utazame upande wa Kaskazini Magharibi