RC KUNENGE AZINDUA RASMI ONESHO LA CIRCUS MAMA AFRICA

0

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge amefungua rasmi onyesho la Circus mama Africa na kutoa wito kwa wananchi kutembelea vivutio vya utalii.

RC Kunenge ameipongeza bodi ya utalii Tanzania kwa kuendelea kuwa wabunifu Katika kuendeleza sekta ya utalii ikiwa ni pamoja na kuweka gharama nafuu ili kuwezesha kila mwananchi kumudu.

Tamasha hilo la Circus mama Africa linahusisha utalii wa michezo ya jukwaani na vivutio vya utalii.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here