Rais Magufuli kuteua Naibu Waziri madini mpya baada ya aliyemteua kushindwa kuapa

0

Rais John Magufuli amesema atafanya uteuzi wa Naibu Waziri mwingine wa Madini baada ya aliyemteua, Francis Ndulane Kumba kushindwa kuapa leo Jumatano Disemba 9, 2020 Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.

Kumba alikuwa mmoja wa waliotakiwa kuapa lakini alikuwa akishindwa kutamka maneno na kutakiwa kukaa pembeni ili wenzake waendelee kuapa.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here