Rais Magufuli amuapisha Dkt. Bashiru kuwa Katibu Mkuu Kiongozi

0

Siku cmoja Baada ya Kumteua kuwa katibbu Mkuu kiongozi, Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania amemuapisha Dk Bashiru Kakurwa kuwa Katibu mkuu Kiongozi huku akiahidi ushirikiano na Taasisi, na Viongozi wa Umma.

Aidha Dk Bashiru amesema kuwa alitamani kuwa Katibu Mkuu aliyepita Balozi Kijaizi angekuwepo kumuona Mrithi wake akiingia kwenye hatamu hiyo ya Uongozi na kuahidi kuyaenzi yale yote mema Kiongozi huyo aliyetangulia mbele ya haki ameyaacha.

TAZAMA ZAIDI: https://youtu.be/gJsF4MxO888

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here