LATEST ARTICLES

Mloganzila yapiga hatua Upasuaji kuondoa vivimbe bila kutoa titi lote

Jopo la wataalamu kutoka Hospitali za Bugando, KCMC, Hospitali ya Rufaa Kanda ya Mbeya (MZRH), Mnazi Mmoja Zanzibar na mwengine...

Kisa wivu wa mapenzi mume amuuwa mkewe kwa mkuki

NA MWANDISHI WETU Mkazi wa Kijiji cha Isikizya, Wilayani Uyui, Mkoani Mbeya, ameuawa alipokuwa amelala kwa kuchomwa na kitu...

Wachina waliotaka ‘kumhonga’ Bosi wa TRA wahukumiwa kulipa faini

NA MWANDISHI WETU Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Ronglan Intl Industry and Trade...

Hosni Mubarak, atazikwa Cairo leo Jumatano.

Aliyekuwa Rais wa Misri Hosni Mubarak, atazikwa kwa mazishi ya kijeshi katika mji mkuu wa Misri, Cairo leo Jumatano.

Virusi vya Corona: Algeria yathibitisha kupata maambukizi

Waziri wa Afya nchini Algeria amethibitisha kwamba nchi hiyo imepokea kisa cha kwanza cha coronavirus katika taarifa iliyotolewa na runinga inayomilikuwa na...

CCM Ubungo yaapa kurejesha majimbo, kata

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Ubungo kimeweka wazi mikakati yake ikiwamo kuhakikisha wanarudisha majimbo ya Ubungo na Kibamba pamoja na kata...

Ofisa TRA mbaroni kwa rushwa

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Mwanza, inakusudia kumfikisha mahakamani Ofisa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Boniface Mwasamboma...

Yanga yakanusha sakata la mishahara ya wachezaji

NA KELVIN SHOO, TUDARCO  UONGOZI wa Klabu ya Yanga umekanusha vikali taarifa za uzushi zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii,...

JPM atimiza ahadi Kigoma

* Atoa Tsh Bil. 585 kuzidi kuing’arisha kwa barabara zingine za lami *Serikali yatia saini mikataba minne kuanza ujenzi...

Shabiki ‘dogo’ wa Man U aliyemuandikia barua Klopp akimtaka asishinde EPL

Mwandishi Wetu Shabiki wa Timu ya Manchester United, ‘dogo’ Daragh Curley (10) amemuandikia barua Kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp akimuomba aache kushinda...
- Advertisement -

Most Popular

Yanga yampatia Tshishimbi mkataba mpya

NA MWANDISHI WETU Klabu ya Yanga SC, imesema kuwa tayari imemaliza kazi yake ya kuhakikisha inambakiza kiungo tegemeo wa...

Tetesi za soka barani Ulaya

SANCHO AITIKISA UNITED Mshambuliaji wa Borussia Dortmund na Timu ya Taifa ya Uingereza, Jadon Sancho (20), amesema hatakuwa tayari...

Makonda: Wazururaji hawatakwenda mahabusu watazibua mitaro ya maji machafu

NA MWANDISHI WETU Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amesema kuwa watu watakaokamatwa kwenye mkoa huo kutokana...

Chui katika hifadhi ya wanyama ya Bronx akutwa na Virusi vya Corona

NEW YORK, MAREKANI Chui wa kike wa Malaysia aliyefahamika kwa jina la Nadia mwenye umri wa miaka minne katika hifadhi...