Mke wa Waziri Mkuu mstaafu afariki dunia

0

MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM 

MKE wa Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Balozi Ahmed Salim Ahmed, Bi Amne Rifai Salim,  amfariki dunia leo, Jumanne, Oktoba 20, 2020.

Mwili wa marehemu unahifadhiwa Msikiti Maamour na maziko yatafanyika Alhamisi, Oktoba 22, 2020 katika Makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam baada ya swala ya adhuhuri katika Msikiti Maamour Upanga jijini humo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here