Messi afikia rekodi ya Giggs

0

BARCELONA, Hispania 

Mshambuliaji wa Barcelona Lionel Messi,  jana ameweka rekodi nyingine baada ya kufunga bao moja katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya Ulaya dhidi ya Ferencváros, ambapo Barcelona ilishinda mabao 5-1.

Messi alifunga bao moja na kutoa pasi ya bao moja pia, baada ya kufanya hivyo, Messi amekuwa mchezaji wa kwanza kufunga bao kwenye Ligi ya Mabingwa kwa msimu wa 16 mfululizo na kuifikia rekodi ya Ryan Giggs aliyewahi kukipiga Manchester United.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here