Na Mwandishi Wetu
Mawakala wanne wa Chadema wamefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa, katika ajali ya gari iliyotokea barabara ya Molo – Sumbawanga mkoani Rukwa, Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Rukwa, Shadrack Malila amesema.
Taarifa zaidi zitakujia hapa hapa JAMVI LA HABARI Digital.