Majumuisho ya Kura kufanyika Dar

0

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Semistocles Kaijage, amesema majumuisho ya kura zote kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 28, 2020, yatafanyika jijini Dar es salaam na sio jijini Dodoma kama ambavyo ilikuwa ikisambaa awali.

Habari zote zinazohusu uchaguzi Mkuu zitaendelea kukufikia kokote ulipo kutoka kwetu JAMVI LA HABARI.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here