Magufuli, Mkewe wapiga kura Dodoma

0
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Dk. John Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwasili katika Kituo cha Kupigia Kura cha Idara ya Maji Chamwino Ikulu kwa ajili ya kupiga Kura leo Oktoba 28, 2020.

Na Mwandishi Wetu 

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Dk. John Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa wamepanga mstari pamoja na Wapiga kura wengine katika Kituo cha Kupigia Kura cha Idara ya Maji kilichopo katika Kijiji cha Chamwino Ikulu mkoani Dodoma.

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Dkt. John Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakipiga kura ya Urais na Mbunge katika Kituo cha Kupigia Kura cha Idara ya Maji kilichopo katika Kijiji cha Chamwino Ikulu mkoani Dodoma leo tarehe 28 Oktoba 2020.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here