Magufuli awatakia kheri Taifa Stars, Mwakinyo

0

Rais Dk. John Magufuli Amewatakia kila la Kheri Taifa Stars Kuelekea mchezo wa Leo dhidi ya Tunisia pamoja na Bondia Mwakinyo ambaye Leo Anapambana na Carlos wa Argentina wakati akilihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Watanzania Siku ya leo.

”Ninawatakia kila la kheri timu yetu ya taifa ya soka ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kwenye mchezo wa kuwania kufuzu AFCON dhidi ya Tunisia, unaopigwa baadaye leo huko Tunisia. Pia bondia wetu Hassan Mwakinyo ambaye anapambana na Carlos wa Argentina” – amesema.

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here