Lengo la Demokrasia ni kuleta maendeleo siyo fujo- Magufuli

0

Rais Dk. John Magufuli amesema lengo la demokrasia ni kuleta maendeleo na sio fujo na hakuna demokrasia isiyo na mipaka.

Magufuli ameeleza hayo leo Novemba 13, 2020 wakati akizindua rasmi bunge la 12 Bungeni jijini Dodoma.

“Miaka mitano ijayo tutaendeleza jitihada za kukuza na kuimarisha demokrasia, ningependa kukumbusha kuwa lengo la demokrasia ni kuleta maendeleo siyo fujo na hakuna demokrasia isiyokuwa na mipaka, uhuru na haki vinakwenda sambamba na wajibu,” amesema.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here