Kessy apoteza ubunge Nkasi Kaskazini, Chadema yashinda

0

Mgombea ubunge wa CCM jimbo la Nkasi Kaskazini mkoani Rukwa. Ally Kessy ameshindwa kutetea kiti cha ubunge baada ya kupata kura 19, 972 na kushindwa na mgombea wa Chadema, Aida Khenan aliyepata kura 21, 226 ikiwa tofauti ya kura 1,254.

Mbunge mteule wa Nkasi Kaskazini (CHADEMA), Aida Khenani

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here