Hemed Suleiman Abdullah Makamu wa pili wa Rais Zanzibar

0

Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi leo Jumapili Novemba 8, 2020 amemteua Hemed Suleiman Abdullah kuwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi, Dk. Abdulhamid Yahya Mzee umeelewa kuwa uteuzi huo umeanza leo Novemba 8.

Kabla ya uteuzi huo Abdullah alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here