Geita Mjini: Musukuma atetea kiti chake

0

Na Mwandishi Wetu

Joseph Musukuma wa CCM, ametetea kiti chake cha ubunge jimbo la Geita kwa kupata kura 31, 520 Sawa na asilimia 86.1 ya kura zilizopigwa.

Msimamizi wa uchaguzi wa jimbo hilo Ali Kidwaka amesema kinyang’anyiro hicho kilikua na Wagombea watatu kutoka CCM, CHADEMA na CUF.

Kwa mujibu wa Kidwaka Mgombea wa Chadema Neema Chozaile kapata kura 3,901 Sawa na asilimia 10.7 na Mgombea wa Cuf Pascal Masulubu amepata kura 1,179 Sawa na asilimia 3.2.

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here