Dk. Tulia ashinda ubunge Mbeya Mjini akimuangusha Sugu

0

Na Mwandishi Wetu 

Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Mbeya Mjini amemtangaza, Dk. Tulia Ackson wa Chama cha Mapinduzi (CCM), kuwa mshindi kwa Jimbo la Mbeya Mjini kwa kupata kura 75,225 huku mpinzani wake Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akipata  kura 37,591.

Dk. Tulia alikuwa Naibu spika wa bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here