Dk Mwinyi Talib Haji ateuliwa Mwanasheria Mkuu Zanzibar

0

Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi leo Novemba 3, 2020 amemteua Dk. Mwinyi Talib Haji kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu Zanzibar imeeleza kuwa kabla ya uteuzi huo Dk Haji, alikuwa Naibu Katibu Mkuu katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here