Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi ametengua Uteuzi wa Katibu wa Rais, Suleiman Ahmed Saleh kuanzia leo Disemba 13, 2020
Taarifa iliyotolewa Katibu wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk. Abdulhamid Mzee imesema Saleh atapangiwa kazi nyingine.