Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imemtangaza mgombea wa urais wa Zanzibar kupitia CCM, Dk Hussein Mwinyi kuwa mshindi wa kiti hicho kwa kupata kura 380,402 sawa na asilimia 76.27 ya kura zote.
Karibu tena Uhabarike katika ukurasa huu maalum na Rasmi wa gazeti bora na makini la kila siku la JAMVI LA HABARI. Tunayo furaha kukujuza kuwa JAMVI LA HABARI ndio gazeti linaloongoza kwa kuandika habari za kweli na umakini zilizochambuliwa na kufanyiwa utafiti wa kina. JAMVI LA HABARI, HAKIKA NI GAZETI LAKO.
Contact us: jamvilahabari@gmail.com