NA MWANDISHI WETU, DAR
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amewaongoza Wazanzibari kusheherekea maadhimisho ya miaka 57 ya Mapinduzi huku akitoa sababu za kiuchumi na...
Na MWANDISHI WETU
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezindua barabara ya Matemwe hadi Muyuni yenye urefu wa kilomita 7.58 iliyojengwa na Kampuni ya China Civil Engineering...
NA MWANDISHI WETU
SHIRIKA la Bima la Taifa Tanzania (NIC) limetoa mchango wa shilingi 14, 700,000 kwa ajili ya kufanikisha mashindano ya soka ya Kombe...
NA MWANDISHI WETU, ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amefanya mabadiliko kwenye uteuzi wa Wakuu wa Wilaya...
NA MWANDISHI WETU, ZANZIBAR
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Ummy Mwalimu amesema kwamba, licha ya kuwepo kwa changamoto chache ...
NA MWANDISHI WETU, ZANZIBAR
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesisitiza kwamba Serikali ya Awamu ya Nane itashirikiana...
Na Dotto Kwilasa,Dodoma
ILIKUWA Desemba 15-16 Mwaka 2020 ambapo Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH)iliendesha mafunzo ya uandishi wa habari za Sayansi,Teknolojia na...
Kampuni pendwa ya simu Infinix Mobility Limited kwa mwaka wa 2020 ilifanya matamasha mbalimbali yenye kuhusisha zaidi mashabiki (fans) wake. kati ya matamasha yalionekana...
Na Mwandishi Wetu
Watumishi 23 wa Idara ya Famasia katika Taasisi ya Mifupa (Moi) wanachunguzwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kwa...
Na Dotto Kwilasa,Mwanza
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Dk. Leonard Chamuriho, amemtaka Mkandarasi anayejenga Daraja la Magufuli jijini Mwanza, kutoa ajira nyingi za vibarua...