Hivi karibuni Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk. Faustine Ndugulile alitoa miezi mitatu kwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA) kumaliza kero katika sekta...
JUZI Jumba la kihistoria la Beit al Ajaib, lililopo visiwani Zanzibar liliporomoka wakati likiwa katika ukarabati mkubwa unaosimamiwa na Serikali ya Kisultan ya Oman.
Jengo...
MARA nyingi zinaponyesha mvua kubwa katika maeneo mbalimbali hapa nchini kumewawapo na madhara ambayo ynaweza kuepukwa endapo wananchi watachukua tahadhari zinazotolewa na mamlaka husika.
Miongoni...
Na Mwandishi Wetu
Zoezi la kampeni linaelekea ukingoni zikiwa zimebaki siku tatu kufikia siku ya kupiga kura, huku wagombea kutoka vyama mbalimbali vya siasa wakizunguka...
ISLMABAD, Pakistan
Maandamano yamefanyika karibu na ubalozi wa Pakistan huko Hague ambapo waandamanaji walidai "msamaha rasmi bila masharti" kwa mauaji ya kimbari yaliyofanywa na jeshi...
BEIJING, China
Mbunge wa Uholanzi, Sjoerd Sjoerdsma amewekwa kwenye orodha ya vikwazo na China kutokana na uamuzi wa jumuiya nchi za ulaya (EU) kuwawekea vikwazo...
Na Mwandishi Wetu
MBWANA Samatta, nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars amesema kuwa haikuwa hesabu zao kuishia hatua ya makundi katika kuwania...
NA MWANDISHI WETU, DODOMA
Imeelezwa kuwa Sekta ya Madini Imezidi kuimarika miaka ya hivi karibuni kutokana na juhudi za makusudi zilizochukuliwa na Serikali ikiwa ni...
ISLAMABAD, Pakistani
MWANDISHI wa habari mwandamizi na mwenyekiti wa zamani Mamlaka ya Udhibiti wa Vyombo vya Elektroniki vya Pakistan (Pemra) Absar Alam amepinga wito aliopewa...