Na Dotto Kwilasa,Mwanza
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Dk. Leonard Chamuriho, amemtaka Mkandarasi anayejenga Daraja la Magufuli jijini Mwanza, kutoa ajira nyingi za vibarua...
Na Mwandishi Wetu, CHATO
Serikali imeitangaza Wilaya ya Chato mkoani Geita kuwa kitovu cha uhifadhi na utalii wa Kanda ya Ziwa.
Hayo yameelezwa jana jioni Jumanne...
Na Munir Shemweta, WANMM SINGIDA
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amepiga marufuku viongozi wa vijiji na vitongoji katika maeneo mbalimbali...
Na Dotto Kwilasa, Dodoma
WALIMU wakuu wa shule za msingi nchini wametakiwa kubainisha aina za ulemavu wa wanafunzi ili kuirahisishia Serikali kuwasaidia watoto hao kulingana...
Na Dotto Kwilasa, Dodoma
TUME ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imesikitishwa na vitendo vya baadhi ya wananchi kuwatumia watu wenye Ulemavu kwa...
Na Munir Shemweta, MTWARA
UJENZI wa Mradi wa Hospitali ya Rufaa Mtwara unaogharimu Bilioni 16 umemvutia Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi...
NA MWANDISHI WETU, TANGA
MBUNGE wa Jimbo la Tanga Mjini ambae pia ni Waziri (OMR) Muungano na Mazingira, Ummy Mwalimu, mwishoni mwa wiki amegawa mifuko...
Rais Dk. John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora Bw. Revocatus Kuuli.
Utenguzi huo umefanyika leo Jumatatu Disemba...
Na Dotto Kwilasa,Dodoma
ILIKUWA Desemba 15-16 Mwaka 2020 ambapo Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH)iliendesha mafunzo ya uandishi wa habari za Sayansi,Teknolojia na...
Kampuni pendwa ya simu Infinix Mobility Limited kwa mwaka wa 2020 ilifanya matamasha mbalimbali yenye kuhusisha zaidi mashabiki (fans) wake. kati ya matamasha yalionekana...
Na Mwandishi Wetu
Watumishi 23 wa Idara ya Famasia katika Taasisi ya Mifupa (Moi) wanachunguzwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kwa...
Na Dotto Kwilasa,Mwanza
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Dk. Leonard Chamuriho, amemtaka Mkandarasi anayejenga Daraja la Magufuli jijini Mwanza, kutoa ajira nyingi za vibarua...
Na Mwandishi Wetu, CHATO
Serikali imeitangaza Wilaya ya Chato mkoani Geita kuwa kitovu cha uhifadhi na utalii wa Kanda ya Ziwa.
Hayo yameelezwa jana jioni Jumanne...