Mwili wa Anna Bayi utazikwa Jumamosi Januari 9 kwenye eneo la nyumba yake, Kibaha Mkuza mkoani Pwani.
Mtoto wa marehemu, Sanka Bayi amesema ibada ya...
>>Ni baada ya kuingia hatua ya makundi
NA SHEHE SEMTAWA
ALIYEWAHI kuwa Mwenyekiti wa Klabu ya Simba SC, Ismail Eden Rage amesema kitendo cha timu yao...
>>Yawatoa El Hilal Obed kwa jumla ya mabao 5-3
NA MWANDISHI WETU
WAWAKILISHI wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika (CAF), Namungo FC, wamefanikiwa kusonga...
NA MUSSA KICHEBA
WAKATI Simba SC ikiwa ya moto, uongozi wa timu hiyo, umewataka wachezaji kuongeza kasi kila wanapolikaribia lango la wapinzani ili kujihakikishia kupata...
NA MWANDISHI WETU
KOCHA Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze, amefunguka kuwa anahitaji kuona kikosi chake kinafunga mabao mengi kwenye michezo yao ya mzunguko wa pili,...
NA MWANDISHI WETU
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Kamati ya Katiba, Sheria na Hadhi ya Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Elias Mwanjala imeelezwa kuwa amefungiwa...
NA MWANDISHI WETU
MKURUGENZI wa Utawala na Udhibiti SportPesa Tarimba Abbas amesema kuwa wakati umefika kwa serikali kuzitaka Kampuni za michezo ya kubashiri (Betting), nchini...
Na Dotto Kwilasa,Dodoma
ILIKUWA Desemba 15-16 Mwaka 2020 ambapo Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH)iliendesha mafunzo ya uandishi wa habari za Sayansi,Teknolojia na...
Kampuni pendwa ya simu Infinix Mobility Limited kwa mwaka wa 2020 ilifanya matamasha mbalimbali yenye kuhusisha zaidi mashabiki (fans) wake. kati ya matamasha yalionekana...
Na Mwandishi Wetu
Watumishi 23 wa Idara ya Famasia katika Taasisi ya Mifupa (Moi) wanachunguzwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kwa...
Na Dotto Kwilasa,Mwanza
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Dk. Leonard Chamuriho, amemtaka Mkandarasi anayejenga Daraja la Magufuli jijini Mwanza, kutoa ajira nyingi za vibarua...