Hizi ndio zilizofuzu hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika
KINSHASA, DR.CONGO
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Thomas Emmanuel Ulimwengu juzi amefunga bao la kwanza dakika ya...
MADRID, HISPANIA
KLABU ya Barcelona ya nchini Uhispania imethibitisha kuwa maafisa wake wawili wamekukutwa na COVID-19 usiku wa kuamkia jana (Januari 5, 2021), baada ya...
LONDON, UINGEREZA
MSHAMBULIAJI Edinson Cavani anatarajiwa kukosa mechi tatu za Manchester United baada ya kukubali kosa la kutoa kauli inayoonyesha ubaguzi wa rangi.
Mkongwe huyo, alimuita mmoja...
PARIS, UFARANSA
ALIYEKUWA kocha wa zamani wa Klabu ya Tottenham, Southampton na Espanyol, Mauricio Pochettino, amesaini dili la mwaka mmoja kuinoa Klabu ya PSG.
Mkataba wake...
BARCELONA, HISPANIA
NAHODHA wa Barcelona Lionel Messi amesema kwamba anatumai ataelekea kuendeleza soka yake Marekani wakati kandarasi yake itakapokamilika mwezi Juni.
Mshambuliaji huyo wa Argentina mwenye...
PARIS, UFARANSA
IMERIPOTIWA kuwa Mauricio Pochettino amesaini mkataba mpya wa kuwa kocha wa Klabu ya Paris Saint-Germain,() inayoshiriki Ligue 1.
Mwandishi mkongwe nchini Italia wa masuala...
ENGLAND, UINGEREZA
KIVUMBI cha Ligi Kuu England kiliendelea jana ambapo timu zinazowania nafasi ya pili Leicester City na Manchester United zilikutana na kutoshana nguvu kwa...
ENGLAND, UK
Mkufunzi wa Arsenal Mikel Arteta amesema wiki ijayo itakuwa muhimu kuhakikisha timu yake haijipati katika hali ya kushukishwa daraja.
Gunners wamefanikiwa kushinda mechi moja...
Na Dotto Kwilasa,Dodoma
ILIKUWA Desemba 15-16 Mwaka 2020 ambapo Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH)iliendesha mafunzo ya uandishi wa habari za Sayansi,Teknolojia na...
Kampuni pendwa ya simu Infinix Mobility Limited kwa mwaka wa 2020 ilifanya matamasha mbalimbali yenye kuhusisha zaidi mashabiki (fans) wake. kati ya matamasha yalionekana...
Na Mwandishi Wetu
Watumishi 23 wa Idara ya Famasia katika Taasisi ya Mifupa (Moi) wanachunguzwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kwa...
Na Dotto Kwilasa,Mwanza
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Dk. Leonard Chamuriho, amemtaka Mkandarasi anayejenga Daraja la Magufuli jijini Mwanza, kutoa ajira nyingi za vibarua...
Na Mwandishi Wetu, CHATO
Serikali imeitangaza Wilaya ya Chato mkoani Geita kuwa kitovu cha uhifadhi na utalii wa Kanda ya Ziwa.
Hayo yameelezwa jana jioni Jumanne...