NA MWANDISHI WETU, DODOMA
Imeelezwa kuwa Sekta ya Madini Imezidi kuimarika miaka ya hivi karibuni kutokana na juhudi za makusudi zilizochukuliwa na Serikali ikiwa ni...
NA DOTTO KWILASA
HAKIKA usiku wa Machi 17 utabaki kuwa ni usiku mgumu kuwahi kutokea kwa watanzania , kufuatia kutangazwa kifo cha mpendwa wao aliyekua...
Wizara ya Ardhi. Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amemaliza utata uliojitokeza mtaa wa Nzasa kata ya Kijitonyama katika Manispaa...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa amewataka watanzania kuwapuuza wapotoshaji wanaosambaza taarifa za chuki, uongo na kuzua taharuki miongoni mwa...
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Mhandisi Marwa Mwita Rubirya afuatilie na kuchukua hatua kwa baadhi ya viwanda vya chai vinavyonunua...
Na Mwandishi wetu , Kigoma
Waziri wa Mambo ya Nje wa Burundi, Balozi Albert Shingiro, ameipongeza Serikali ya Tanzania kwa kufanya maboresho makubwa ya miundombinu...
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania, Mhandisi Deusidedit Kakoko amesema maboresho makubwa yaliyofanywa katika Bandari ya Kigoma yameanza kuleta matokeo chanya...
BEIJING, China
Mbunge wa Uholanzi, Sjoerd Sjoerdsma amewekwa kwenye orodha ya vikwazo na China kutokana na uamuzi wa jumuiya nchi za ulaya (EU) kuwawekea vikwazo...
Na Mwandishi Wetu
MBWANA Samatta, nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars amesema kuwa haikuwa hesabu zao kuishia hatua ya makundi katika kuwania...
NA MWANDISHI WETU, DODOMA
Imeelezwa kuwa Sekta ya Madini Imezidi kuimarika miaka ya hivi karibuni kutokana na juhudi za makusudi zilizochukuliwa na Serikali ikiwa ni...
ISLAMABAD, Pakistani
MWANDISHI wa habari mwandamizi na mwenyekiti wa zamani Mamlaka ya Udhibiti wa Vyombo vya Elektroniki vya Pakistan (Pemra) Absar Alam amepinga wito aliopewa...
*Yajiandaa kuivaa Mtibwa Aprili 6
*Yashusha mashine nyingine kimyakimya
NA MWANDISHI WETU
TIMU ya Azam FC imeendelea kujifua ikiwa ni maandalizi ya mechi yao ya Ligi Kuu...