Home Habari Zote

Habari Zote

BREAKING NEWS: MAJALIWA AFUNGUKA AFYA YA RAIS MAGUFULI

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa amewataka watanzania kuwapuuza wapotoshaji wanaosambaza taarifa za chuki, uongo na kuzua taharuki miongoni mwa...

WAZIRI MKUU MAJALIWA: RC NJOMBE FUATILIA MADAI YA WAKULIMA WA CHAI

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Mhandisi Marwa Mwita Rubirya afuatilie na kuchukua hatua kwa baadhi ya viwanda vya chai vinavyonunua...

MABORESHO BANDARI YA KIGOMA YAONGEZA SHEHENA, MAPATO, YAIPIKU MWANZA

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania, Mhandisi Deusidedit Kakoko amesema maboresho makubwa yaliyofanywa katika Bandari ya Kigoma yameanza kuleta matokeo chanya...

Meli Kubwa Zaanza KLushusha Shehena Bandari ya Tanga

Baada ya kuongeza Kina Cha Bandari ya Tanga kwa kuchoronga Kina Cha Kuingilia Bandarini Hapo Sasa Meli Kuwa Zimeweza Kuingia na Kushusha Shehena Kubwa...

TIMU YA USHINDI

NA SHARIFA MARIRA, Dodoma HATIMAYE kikosi cha Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa muhula wa pili katika awamu tano kimekamilika, hii ni baada...

Kilimanjaro haturudii makosa

NA HAFIDH KIDO, MOSHI KATIKA hali isiyo ya kawaida wananchi katika Mkoa wa Kilimanjaro Kanda ya Kaskazini wamemuomba msamaha mgombea urais kwa tiketi ya Chama...

Stay Connected

23,126FansLike
816,000FollowersFollow
9,402FollowersFollow
1,080,000SubscribersSubscribe

Latest Articles

Maandamano yafanyika ubalozi wa Pakistan

ISLMABAD, Pakistan Maandamano yamefanyika karibu na ubalozi wa Pakistan huko Hague ambapo waandamanaji walidai "msamaha rasmi bila masharti" kwa mauaji ya kimbari yaliyofanywa na jeshi...

CHINA YAMUWEKA KIZUIZINI MBUNGE WA UHOLANZI

BEIJING, China Mbunge wa Uholanzi, Sjoerd Sjoerdsma amewekwa kwenye orodha ya vikwazo na China kutokana na uamuzi wa jumuiya nchi za ulaya (EU) kuwawekea vikwazo...

SAMATTA ATOA NENO ZITO

Na Mwandishi Wetu MBWANA Samatta, nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania,  Taifa Stars amesema kuwa haikuwa hesabu zao kuishia hatua ya makundi katika kuwania...

MASOKO, VITUO MADINI VYAONGEZA MAPATO

NA MWANDISHI WETU, DODOMA Imeelezwa kuwa Sekta ya Madini Imezidi kuimarika miaka ya hivi karibuni kutokana na juhudi za makusudi zilizochukuliwa na Serikali ikiwa ni...

MWANDISHI WA HABARI AILALAMIKIA PAKISTAN

ISLAMABAD, Pakistani MWANDISHI wa habari mwandamizi na mwenyekiti wa zamani Mamlaka ya Udhibiti wa Vyombo vya Elektroniki vya Pakistan (Pemra) Absar Alam amepinga wito aliopewa...