Na Mwandishi Wetu
Jumla ya wanafunzi 68 kutoka shule za msingi na Sekondari katika Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu wamepata ujauzito katika kipindi cha mwezi...
Na Dotto Kwilasa,Dodoma
ILIKUWA Desemba 15-16 Mwaka 2020 ambapo Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH)iliendesha mafunzo ya uandishi wa habari za Sayansi,Teknolojia na...
Kampuni pendwa ya simu Infinix Mobility Limited kwa mwaka wa 2020 ilifanya matamasha mbalimbali yenye kuhusisha zaidi mashabiki (fans) wake. kati ya matamasha yalionekana...
Na Mwandishi Wetu
Watumishi 23 wa Idara ya Famasia katika Taasisi ya Mifupa (Moi) wanachunguzwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kwa...
Na Dotto Kwilasa,Mwanza
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Dk. Leonard Chamuriho, amemtaka Mkandarasi anayejenga Daraja la Magufuli jijini Mwanza, kutoa ajira nyingi za vibarua...
Na Mwandishi Wetu, CHATO
Serikali imeitangaza Wilaya ya Chato mkoani Geita kuwa kitovu cha uhifadhi na utalii wa Kanda ya Ziwa.
Hayo yameelezwa jana jioni Jumanne...